Tuesday, 4 August 2015

JE, UNGEPENDA KUJUA NAPE ALISEMA NINI BAADA YA LOWASSA KUHAMIA CHADEMA? STORI YOTE IPO HAPA

 
Taarifa za kuhusu aliyekuwa Waziri Mkuu na mwanachama wa CCM Mh: Edward Lowassa kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA si mpya tena kwa sasa kwani ni karibu watu wote wanazifahamu.

Lakini wengi walitamani kujua kauli ya CCM kuhusu kada huyo kukikacha chama hicho ambapo tangu kuhama kwa Lowassa, CCM walikuwa kimya na hawakulizungumzia rasmi suala hilo.

Hapa nimeipata sauti ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumzia swali hili. Karibu umsikilize kwa kubonyeza 'Play' hapo chini>>
Asante kwa kufuatilia tovuti yetu hii, lakini kumbuka kuwa endapo unasumbuliwa na magonjwa sugu unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu zifuatazo ; 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment