Saturday, 1 August 2015

JE, UNGETAMANI KUJUA NINI KIMEENDELEA BAADA YA YALE MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA KUPATIKANA?

Mabaki kutoka kwa ndege ya Boeng 777 yanayoaminiwa kutoka kwa ndege iliyotoweka ya shirika la ndege la Malaysia ya MH370 yamesafiriswa kwenda nchini ufaransa kufanyiwa uchunguzi.

Sehemu ya mbawa la ndege hiyo ilianguka katika kisiwa cha Reunion katika bahari ya Hindi ambapo ilipatikana siku ya Jumatano.

Mabaki hayo yatachunguzwa katika maabara ya wizara ya ulinzi katika mji ulio kusini wa Toulause wiki ijayo.

Boeng inatuma kundi la wataalmu kusadia uchunguzi huo.

Ndege ya MH370 ilitoweka mwezi machi mwaka 2014 ikiwa na abiria 239.

Unaweza kutangaza na tovuti hii sasa wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment