Wednesday, 12 August 2015

JUISI YA KOMAMANGA NI KIBOKO YA MATATIZO YA KINAMAMA

Kwa kawaida kipindi cha hedhi ni kati ya siku nne hadi saba, huku siku mbili za kwanza damu hutoka kwa wingi na baadaye huanza kupungua na hatimaye kuacha kabisa.

Lakini iwapo katika siku zote za hedhi damu itatoka kwa wingi na ikaendelea kutoka kwa sik zaidi pasipo kuonesha hali yoyote ya kuacha basi hapo huwa kuna shida ambayo huhitaji kutafutiwa ufumbuzi.

Baadhi ya wanawake kunawakati hujikuta wanapata hedhi mapema zaidi kuliko ilivyo kawaida ya mzunguko wao au hedhi inakatika mapema kuliko muda uliotarajiwa, hii nayo huashiria kuwa kuna tatizo.


Moja ya tiba ya tatizo hilo ni pamoja na tunda la komamanga. Kinachofanyika ni kutengeneza glasi moja ya juisi ya komamanga, kisha utakunywa asubuhi wakati wa kifungua kinywa.

Tiba hii utaanza siku tatu kabla ya muda wa hedhi kufika na utapaswa kutumia tiba hii kwa siku mbili zaidi baada ya damu kuacha kutoka.

Usisite kutupigia simu kwa maelezo zaidi namba zetu ni 0784 300 300, 0769 400 800, 0716 300 200 au barua pepe (email) dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment