Saturday, 29 August 2015

KAMA UNASHIDA YA MIGUU KUFA GANZI, KUWAKA MOTO, MATATIZO YA MGONGO NA KIUNO DAWA IPO HAPA

Huenda utakuwa  unasumbuliwa na matatizo ya ganzi ya miguu, mikono, miguu kuwaka moto, matatizo ya mgongo, kiuno na kifua basi usipate tabu napenda kukupatia hizi habari njema sana kutoka Mandai Herbalist Clinic

Kama unasumbuliwa na matatizo yaliyotajwa hapo juu basi hii ni fursa yako ya kupata suluhisho la matatizo yote hayo kwa kutumia dawa moja tu iitwayo Madondo Plus E6 ambayo inatengenezwa na kituo cha Tiba asili na Tiba mbadala kiitwacho Mandai Herbalist Clinic.

Madondo asili ni dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mchanganyiko maalum, kazi kubwa ya dawa hii ni kutibu ma gonjwa yote yaliyoorodheshwa hapo juu.

Dawa hii huongeza madini ya 'calcium' ambayo ni madini rafiki kwa wale ambao wamepooza, dawa hii pia husaidia sana kuongeza hamu ya chakula.

Kwa mawasiliano zaidi ikiwa unahitaji kupata dawa hii unaweza kuwasiliana nasi sasa kupitia namba za simu zifuatazo: 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe  dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment