Wednesday, 5 August 2015

KAMA UNGEPENDA KUACHA KUJICHUA (PUNYETO) BASI TUMIA NJIA HIZI UTAFANIKIWA

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume mara nyingi huchangiwa na masuala ya ulaji mbovu pamoja na mtindo wa maisha pia.

Zifuatazo ni mbinu zitakazo kusaidia kuachana na tatizo a kujichua.


Acha kuangalia video za ngono: 
video hizo huwa chanzo kikuu cha kukupelekea kufanya maamuzi ya kuanza kujichua kwa watu wengi, hii ni kwasababu picha hizo hujenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio itaweza kuwa suluhisho la wewe kuachana na tatizo hili.

Usitumie muda mwingi wakati wa kuoga.
Bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kuepuka kutumia muda mwingi kuwa bafuni kwa kuoga haraka na kuondoka, Pia ni vyema ukaoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto.
Epuka kukaa nyumbani peke yako;
Kukaa peke yako nyumbani kutakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hivyo ni vyema kujichanganya na watu wengine na kuongea nao.


Kama unaamua kuacha basi acha kweli
Hii inamaana kuwa unapaswa kuacha kusema eti hii ni mara ya mwisho na sitafanya tena, inaonekana kwamba wengi ambao husema hivyo hushindwa kuacha hivyo kama unaacha acha mara moja.

Tafuta mpenzi:
Amua kuwa na mpenzi mmoja na mwaminifu ili kuepuka kuendelea kufanya hii punyeto ambayo madhara yake ya baadaye huwa ni makubwa ikiwa upungufu wa nguvu za kiume.

Fanya mazoezi
Pia mazoezi ya yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala.

Asante kwa kufuatilia tovuti yetu hii, lakini kumbuka kuwa endapo unasumbuliwa na magonjwa sugu unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu zifuatazo ; 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com 

2 comments:

  1. Hili suala la kutafuta mpenzi nalo pia sio sahihi. Mbinu kubwa ya kuacha punyeto ni kuwa na khofu ya muumba wetu. Khofu hii ikipatikana, basi hata hiyo njia ya kutafuta mpenzi utaiogopa.

    ReplyDelete
  2. Kwa ushauri na njia za kupunguza na hatimaye kuacha kabisa kuangalia picha za PORNGRAPHY na kupiga punyeto au MASTERBATION kwa vijana wenzangu na pia namna ya kurudisha nguvu za uume zilizopungua ambazo hufanya umme kusimama kwa muda mfupi au kumwaga mapema kwa tiba mbadala, please tuwasiline ushaurinasaha18@gmail.com

    ReplyDelete