Saturday, 8 August 2015

KUTANA NA HUYU DADA ALIYETESEKA NA TATIZO LA KUKOSA MTOTO KWA MIAKA MIWILI, LAKINI SASA NI MAMA MTARAJIWA


Miongoni mwa matatizo ambayo yanawasumbua wanawake wengi na kuwafanya kukosa kabisa furaha ni pamoja na hili tatizo la  kukosa uwezo wa kushika ujauzito.

Tatizo hili limekuwa likichangia migogoro katika familia nyingi na hata kupelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi.

Rahma Khamis ni miongoni mwa wanawake ambaye amekuwa kwenye ndoa kwa miaka miwili na kwa kipindi chote hicho hakuwahi kabisa kushika ujauzito.

Rahma Khamis anasema kuwa tatizo hilo lilichangiwa na mirija yake ya uzazi kuziba "kwa mujibu wa vipimo alivyopimwa"

Baada ya kuambiwa kuwa alikuwa na shida hiyo Rahma aliamua kufika Mandai Herbalist Clinic na kufanyiwa vipimo na akaanza kutumia dawa.

Dawa hizo alichukua mara mbili tu, na leo August 08, 2015 wakati anakuja kuchukua dawa za mwisho alishauliwa na dokta akapime ujauzito kwanza kabla ya kumalizia dozi yake ya mwisho.

Baada ya vipimo Rahma akagundulika kuwa tayari ameshika ujauzito, hivyo leo  August 08, 2015 Rahma Khamis tunaweza kumuita ni mama mtarajiwa sasa.
Msikilize mwenyewe Rahma hapa chini akisimulia jinsi alivyofanikiwa katika hili. Bonyeza 'play" kumsikiliza.
Kama na wewe unasumbuliwa na tatizo lolote la uzazi ni vizuri ukafika kwetu Mandai Herbalist Clinic au tupigie simu kwa namba zifuatazo: 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment