Monday, 10 August 2015

MAMIA WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA LOWASSA KUCHUKUA FOMU LEOLeo August 10, 2015 Mh: Edward Lowassa mgombea urais kupitia UKAWA pamoja na wapenzi wa chama hicho walikuwa na safari ya kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kwaajili ya kuchukua fomu.

Kutana na hizi picha za mafara wa wananchi waliojitokeza kumsindikiza Lowassa kuchukua fomu leo
Kama ungependa kutangaza biashara yako na tovuti hii basi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment