Tuesday, 11 August 2015

MANENO YA WEMA KWA MASHABIKI WAKE ( TEAM WEMA) KUHUSU LOWASSA!!


Ikiwa hali ya siasa nchini ikiendelea kushika kasi katika kuelekea uchaguzi mkuu mnamo mwezi Oktoba Msanii na mrembo Wema Sepetu kaamua kuyatoa yake ya moyoni kuhusu Edward Lowassa na John Magufuli ambao ni wagombea urais wa UKAWA na CCM.
  
Wema Sepetu kupitia mtandao wake wa Instagram kapost picha inayomuonesha Waziri wa ujenzi John Magufuli akisalimiana na Steve Nyerere pamoja na Rais Jakaya Kikwete.


Kwenye post hiyo Wema aliandika maneno haya >> ‘Wamoja havai Mbili…. Alafu nina msg to Team Wema … Please my darlings… kama kuna mtu anatumia account yenye jina langu naomba msimpost Lowassa tafadhal… Kama unashindwa then badili tu jina… Dont use my name kumpost Lowassa …. Jamani Iam Not Team Lowassa…. Thank u… CCM tu hapa… TeamMagufuli to death … Nilishasema mi ni CCM Damu Kabisa… Sidanganyiki…
UKAWA mtaenda msojielewa…. 🙈🙈🙈🙊🙉 >>>> @wemasepetu

No comments:

Post a Comment