Tuesday, 25 August 2015

MGOMBEA URAIS WA CHADEMA LOWASSA LEO ATEMBELEA MASOKO JIJINI DSM, KAFIKA SOKO LA TANDALE

Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa leo ameendelea na kampeni zake baada ya jana kufanya kampeni hizo kwa kupanda daladala, leo kaamua kuzunguka kwenye masoko mbalimbali jijini Dar es Salaam.
 

Lowassa ametembelea soko Tandale  na kuzungumza na wafanyabishara juu ya masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na changamoto zao
 

Nimefanikiwa kuzipata hiz picha hapa, karibu utazame


Unaweza kutangaza nasi kwa matangazo ya aina yoyote ile gharama zetu ni nafuu sana tupigie simu sasa kwa simu namba 0769 400 800, 0653 163 838 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment