Monday, 3 August 2015

YAFAHAMU MAGONJWA NANE AMBAYO YANAWEZA KUTIBIKA KWA KUTUMIA ALO VERA


Alovera ni mmea ambao unataka kufanana sana na mmea wa katani na majani yake huwa na miiba miiba pembeni.

Mmea huu wa mualovera unasifika kwa kuwa na uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali yakiwemo yale sugu pia.


Leo ninayo orodha ya magonjwa ambayo huweza kutibika kwa kutumia mmea huu wa mualovera.
  1. Malaria
  2. Shinikizo la damu 
  3. Matatizo ya saratani 
  4. Mkanda wa jeshi 
  5. Kuongeza na kuimarisha kinga za mwili 
  6. Baridi yabisi 
  7. Husaidia sana kwa wale wanaume wenye shida ya tatizo la nguvu za kiume 
  8. Huwasaidia sana wale wenye shida ya tatizo la mkojo kutoka kwa shida

ONYO.
Kabla sijakwambia ni namna gani unaweza kuufanya mualovera kuwa dawa nimeona nitoe angalizo kwanza kabla ya kutumia mmea huu. Dawa hii ya alovera hatakiwi kabisa kutumia mama mjamzito au anayenyonyesha usijaribu kutumia kama upo katika hali hizo tafadhari.


Baada ya kutoa angalizo hilo sasa tufahamu namna ya kuandaa dawa hii, kwanza utatakiwa kupata majani mawili hadi matatu ya mualovera kisha pondaponda na uwe na maji ya uvugu vugu ambayo ni safi na yanayofaa kwa kunywa kiasi cha jagi moja.

Kisha utachukua mualovera uliopondwa na kuweka ndani ya maji hayo kwa muda wa masaa 12 kisha chuja vizuri kisha kunjwa nusu kikombe kutwa mara tatu kwa muda wa siku 5 mfululizo na utaona mabadiliko baada ya muda huo.

Kwa maelekezo zaidi au kama unasumbuliwa na magonjwa sugu tupigie simu kwa namba zifuatazo 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800, 0652 163 838 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kufika Mandai Herbalist Clinic iliyopo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment