Thursday, 6 August 2015

SABABU AMBAZO HUCHANGIA WANAUME KUENDELEWA KUISHIWA NA NGUVU ZA KIUME


Wanaume wengi wamekuwa wakipata shida sana kuhusu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, lakini mbaya zaidi wengi hawafahamu namna ya kulidhibiti tatizo hilo na hivyo kujikuta wakiendelea kujiweka katika mazingira hatarishi zaidi.

Zifuatazo ni baadhi ya sababu amabzo humfanya mwanaume kuendelea kuathiriwa zaidi na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Ulevi wa pombe uliokithiri 
Unywaji wa pombe uliokithiri una nafasi kubwa ya kumsababishia mwanaume kushindwa kuwa na uwezo mzuri katika tendo la ndoa. Hivyo ni vyema ukaacha kunywa pombe kupita kiasi ili kuepukana na tatizo hili.

Uvutaji wa sigara: 
Sigara ina uwezo wa kuchangia sana tatizo hili kwa sababu ina kimelea cha kemikali kwa jina la kiitwacho ‘nicotine’ ambacho huharibu mishipa ya damu na ile ya fahamu na kukufanya kuwa dhaifu wakati wa tendo la ndoa.

Kulala na mwanamke mchafu na ambaye humpendi: 
Mapenzi ni hisia na hali ya shahuku ya kufanya tendo hilo huendana sana na masuala ya saikolojia kamwe itakuwa ni ngumu sana kumudu vyema tendo la ndoa endapo utalala na mwanamke huku umeshika pua kuzuia harufu kali afu upate nguvu za kiume.

Ugomvi wa mara kwa mara na mwenza wako: 
Kama una mifarakano na mwenzi wako basi usitarajie kuwa vizuri katika tendo la ndoa kwani mtakuwa mkiingia katika tendo hilo mkiwa na vinyongo moyoni, hali hii hupoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa na kuendelea kuishiwa nguvu za kiume.

Kuwa na utaratibu wa kufanya ngono mara kwa mara au kujichua.
Kuacha au kutofanya mazoezi:

Uzito uliopitiliza: 


Karibu sana Mandai Herbalist Clinic upate suluhisho la magonjwa sugu tiba zetu ni za mimea, matunda, nafaka na mitishamba tunafanya kazi kila siku Jumatatu hadi Jumapili. Kumbuka kuwa tunapatikana Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam na kwa mawasilano zaidi tutafute kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800, 0652 163 838 barua pepe ni dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment