Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 30 August 2015

SARATANI INAWEZA KUTIBIKA KWA KUTUMIA TUNDA LA STAFELI

Stafeli ni tunda ambalo hupatikana katika mikoa ya Tanga, Iringa, Mbeya, Morogoro na baadhi ya maeneo katika jiji la Dar es Salaam.

Tunda hili linaelezwa kuwa na uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali ikiwamo saratani.

Kwa mujibu wa Jarida la Kemia na madawa la nchini Marekani la mwaka 2010 linaeleza kuwa tunda hili la Stafeli au Mtopetope kuwa lina uwezo wa kuangamiza chembe hai zenye saratani pasipo kuleta madhara katika mwili.

Taasisi ya utafiti wa Saratani ya Nchini Uingereza (NIR) ilifanya utafiti wa kwanza kuhusu maajabu ya stafeli mwaka 1976 na kubaini kuwa majani, mizizi na tunda la stafeli, vyote vina uwezo wa kutibu saratani. 

  Unaweza kutupigia simu namba 0716 300 200, 0754 391 743, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment