Sunday, 2 August 2015

SIASA SAIZI NI KILA KONA LEO DK. MAHANGA NAYE KATANGAZA KUKIHAMA CHAKE


Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari
Taarifa za siasa kwa sasa zimekuwa ni nyingi sana karibu kila siku lazima kutaibuka story mpye leo kuna hii ya mwanachama mwingine wa Chama cha Mapinduzi CCM katangaza kukihama chama hicho.

Mwanachama huyo ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ambaye leo ametangaza kukihama chama chake hicho, huku akitoa sababu za kutokuwepo kwa Demokrasia ya kweli ndani ya CCM na ametangaza kujiunga na CHADEMA.

Unaweza kutangaza na tovuti hii sasa wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.comNo comments:

Post a Comment