Saturday, 1 August 2015

SIRI ILIYOPO KATI YA TANGAWIZI NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Kuna aina ya vyakula ambavyo vimekuwa vikiaminika sana kwa kuwa na uwezo wa kuwasaidia wale wenye shida ya tatizo la nguvu za kiume.

Vyakula hivyo vipo vingi, lakini miongoni mwa vyakula ambavyo huweza kuwa msaada kwa tatizo hilo ni hiki kiungo kiitwacho tangawizi.

Tangawizi unapoamua kuitumia kwa kuichemsha vizuri na baadaye ukaamua kutumia kuinywa kama chai asubuhi mchana na jioni yaani kutwa mara tatu huweza kumsaidia mwanaume mwenye shida ya upungufu wa nguvu za kiume.


Kama ungehitaji maelezo zaidi wasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com au fika kituoni kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment