Monday, 10 August 2015

TUMIA NAFASI HII KUUFAHAMU VIZURI MMEA WA MLONGE

Jana Jumapili ya Agosti 09, 2015  Tabibu Abdallaha Mandai kupitia kipindi cha Mandai Afya .com kilichoonekana kupitia STAR TV alikuwa akizungumzia kuhusu mmea wa mlonge na namna unavyoweza  kutibu magonjwa  mbalimbali.

Kufuatia kipindi hicho tumepokea simu za watazamaji wengi wakiomba kuufahamu muonekano wa mmea huo.

Hivyo hapa nimeona nikuwekee picha mbalimbali za mmea wa mlonge ili kuwasaidia wale ambao wanapenda kuufahamu mmea huu namna unavyofanana au kuonekana.

Maua ya mlonge ambayo pia ni dawa
Mti wa mlonge
Majani ya mlonge yaliyosagwa
Mizizi ya mlonge
Mbegu za mlonge
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment