Sunday, 2 August 2015

UFAHAMU UMUHIMU WOTE WA NANASI LEO KUANZIA TUNDA LENYEWE, MIZIZI NA MAJANI YAKE PIA

 
Habari za leo mpendwa msomaji wangu wa www.dkmandai.com leo ni Jumapili ya Agosti 2, 2015 siku ambayo wewe mtazamaji wa kipindi cha Mandai afya.com utapata nafasi ya kufahamu umuhimu wa tunda la nansi katika tiba.

Nanasi limekuwa likisifika sana kwa kuwa tunda nzuri na lenye virutubisho mwilini, lakini siku ya leo Tabibu Mandai yeye atakupa fursa ya kufahamu umuhimu wa mizizi ya nanasi, majani yako pamoja na juisi pia.

Kipindi cha Mandai Afya.com kitarukua leo Jumapili, Agosti 2 kuanzia saa 1:25 usiku na ni kipindi ambacho leo kitakufanya kuyajua mengi sana kuhusu nanasi. Kipindi kitaruka kupitia Star Tv

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 barua pepe dkmandatz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment