Saturday, 8 August 2015

UWEZO WA KITUNGUU MAJI KWA KUTIBU MAGONJWA

Kitunguu maji ni moja ya kiugo ambacho ni muhimu sana katika mapishi ya kila siku ndani ya nyumba zetu.

Lakini pia kitunguu hiki hiki pia kinaweza kusimam kama tiba na kusaidia kutatua matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na maumivu wakati wa kutoa haja ndogo.

Ili kutatua tatizo hili itakupasa kuponda gramu sita ya vitunguu kisha utavichemsha katika nusu lita ya maji. hakikisha inachemka hadi ipungue nusu nzima kisha maji hayo utampatia mfonjwa anywe.

Kitunguu maji
Kimsingi kitunguu kinauwezo wa kutibu matatizo mengi ya kiafya ikiwa ni pamoja na kikohozi, vidonda vya tumbo, matatizo ya ngozi, figo na matatizo ya tumbo n.k.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Dk Abdallaha Mandai kwa simu namba 0784 300 300, 0716 300 200, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment