Saturday, 22 August 2015

UWEZO WA MWEMBE KATIKA MATIBABU


Mti wa mwembe hupatikana maeneo mbalimbali hapa nchini na unazaa matunda yaitwayo maembe.

Zifuatazo ni baadhi ya faida za mti wa mwembe

Mwembe unauwezo wa kutibu tatizo la pumu, hutibu kifua kikavu pamoja na kutumika kwa kuoshea vidonda na majeraha mbalimbali.

Ili kutumia mmea huu kama tiba itakupasa kupata majani ya mwembe na kuyachemsha kisha kutumia maji yake kama tiba.

Pia unga wa majani ya mwembe hutumika kutibu meno kwa kusukutua, lakini pale magome yake yanapochemshwa hutumika kutibu homa.

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment