Sunday, 23 August 2015

UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JANGWANI NI KUFULU NI ZAIDI YA MAFURIKO (PICHA NINAZO HAPA)

Leo Agosti 23, 2015 CCM imefungua pazia rasmi na kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa urais, wabunge, madiwani uzinduzi ambao ulipambwa na makada mbalimbali wa chama hicho pamoja na wasanii mashughuli nchini.

Ninazo hapa baadhi ya picha zote za uzinduzi wa kampeni hizo>>
No comments:

Post a Comment