Wednesday, 5 August 2015

WANAUME: MALIZA TATIZO LAKO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI KWA KUFANYA HAYA HAPA


Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa tovuti hii basi naimani utakuwa unajua kwamba kuna mda siku ya leo nilikuwekea kupitia mtandao wetu huu ambayo ilikuwa ikihusu tatizo la wanaume kuwahi kufika kileleni.

Katika mada hiyo nilijaribu kueleza baadhi ya sababu ambazo huchangia tatizo hilo, lakini kwa sasa nimeona ni vyema tukafahamishana kuhusu kuhusu namna ya kukabiliana na tatizo hilo

Kwanza unapokuwa ukishiriki tendo jitahidi kufanya taratibu usiwe na papara, Wengi wamrjikuta wakiwa na shida hii kutokana na kuwa na papara au haraka katikati ya tendon a hali hiyo wengi hujifunza kupitia mikanda ya ngono wakidhani kuwa kulala na mwanamke ni lazima ufanye kwa haraka ndio uonekane mwanaume kweli. Lakini ukweli ni kwamba unapofanya taratibu ni njia nzuri zaidi kwani utamfikisha mwenzi wako na wewe utachelewa kufika kilele pia.

Kuwa mtundu, hapa namaanisha kuwa ni lazima uwe mjanja katika suala hili ikiwemo suala la kubadilisha 'style'. Asilimia kubwa hupenda kutumia 'style' ya mwanamke kuwa chini mwanaume juu style ambayo huleta msuguano mkubwa kwenye kichwa cha uume na kumsababishia mwanaume kuwahi zaidi kufika kileleni, hivyo ni vyema ukabadili 'style' mara kwa mara.

Unapokuwa katika tendo hakikisha unaondoa mawazo yote ya kuwa unafanya ngono na badala yake unaweza kuwaz au kufikiria kuhusu maisha kidogo au masuala yako ya kikazo wakati unaendelea na tendo hii itakupunguzia hisia kali za mapenzi na kuchelewa kufika.

Jenga utaratibu wa Fanya na kuacha: hii ni ile hali ya unapoona unakaribia kutoa mbegu basi unaweza kusimama angalau kwa sekundi 30 kisha unaanza upya. Hii husaidia sana kuchelewa kufika kileleni na hauta weza kumaliza kwa haraka.
Karibu sana Mandai Herbalist Clinic upate suluhisho la magonjwa sugu tiba zetu ni za mimea, matunda, nafaka na mitishamba tunafanya kazi kila siku Jumatatu hadi Jumapili. Kumbuka kuwa tunapatikana Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam na kwa mawasilano zaidi tutafute kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800, 0652 163 838 barua pepe ni dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment