Monday, 24 August 2015

ZIFAHAMU HIZI DALILI ZA U.T.I PAMOJA NA TIBA YAKE IPO HAPA

Ugonjwa wa UTI kitaalamu huitwa  “Urinary Tract Infection” ni ugonjwa  ambao huathiri  mfumo wa kutengeneza na kutoa mkojo nje ya mwili.
Maambukizi ya mfumo huu wa mkojo yasipopata tiba haraka huweza kuwa na madhara makubwa zaidi na hata kusababisha kusambaa hadi kwenye figo zako.

Zifuatazo ni miongoni mwa dalili za U.T.I
  1. Kujisikia maumivi au kuwashwa wakati wa kukojoa
  2. Kupata haja ndogo (mkojo) mara kwa mara
  3. Kujihisi haja ya kukojoa lakini unapoenda kukojoa mkojo hautoki wa kutosha badala yake unatoka kidogo
  4. Mkojo kutoa harufu mbaya au mkojo kuwa kama wingu
  5. Kupata maumivi ya mgongoni hususani chini ya mbavu hii huja pale ambapo tatizo limekuwa kubwa. 
  6. Kupata homa na kutetemeka
  7. Kichefuchefu na kutapika.
Hii ndio dawa ambayo huweza kumaliza shida yako ya U.T.I hata kama ni sugu

Kama unasumbuliwa na tatizo hilo kwa muda mrefu sasa au umeshatumia dawa na hujaona mabadiliko yoyote basi huu ni wakati wako wa kufika Mandai Herbalist Clinic ili kupata tiba itakayomaliza kabisa tatizo hilo la U.T.I sugu. Tupigie simu namba 0652 163 838, 0784 300 300, 0769 400 800 barua pepe ni dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment