Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 31 August 2015

ZIFAHAMU HIZI SABABU 10 AMBAZO HUCHANGIA KUHARIBU FIGO

1. Kutokunywa maji ya kutosha kila siku
2. Kutumia chumvi nyingi kupitadi kiwango
3. Unywaji wa pombe kupita kiasi
4. Kula nyama mara nyingi
5. Kubana mkojo muda mrefu
6. Kutokula chakula cha kutosha
7. Kuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihi
8. Kutumia mara kwa mara dawa za kutuliza maumivu na bila kupata ushauri kutoka kwa wataalam.
9. Kutumia dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefu
10. Kutopata muda wa kutosha kupumzika

Unaweza kuwa karibu nasi kwa kulike ukura wetu wa facebook uitwao Mandai Herbalist Clinic- mhc na utapata nafasi ya kufikiwa na kila kitu kinachohusu afya hususani mimea tiba kwa ujumla, fanya hivyo sasa. Au wasiliana na Dk Mandai kwa namba zifuatazo endapo unatatizo la kiafya namba ni 0653 163 838, 0716 300 200, 0784 300 300.Barua pepe, dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment