Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 28 September 2015

DK MAGUFILI ABADILISHA 'STYLE' YAKE YA 'PUSH UP', SASA NI MAZOEZI TU


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli sasa ameamua kuja na mazoezi jukwaani baada ya ile 'style' yake ya 'push up'

Mazoezi hayo aliyafanya wakati alipokuwa akijiandaa kujinadi kwa wananchi katika Mji wa Makambako, mkoani Njombe, jambo ambalo lilizua vifijo, nderemo na vigelegele kutoka kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo wa kampeni.

Tazama kipande cha video hiyo hapa chini>>>>

No comments:

Post a Comment