Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 26 September 2015

FAHAMU KUHUSU MAAJABU YA DAWA HII ASILI

Habari za leo mdau wangu wa www.dkmandai.com naamini kwamba utakuwa vizuri siku hii ya Jumamosi ya Septemba 26, 2015.

Leo napenda nikufahamishe kuhusu dawa asili inayotengenezwa Mandai Herbalist Clinic ambayo inasifika kwa kuwa na uwezo mzuri wa kupandisha CD4 haraka.

Dawa hiyo inaitwa 'Limbugulu Asili CD4'  ni dawa ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa mimea tiba ndani yake ina vitamin na madini muhimu kwa afya ya mwanadamu.

Hii ni dawa asili yenye uwezo wa kuondoa vipele, majipu na uvimbe ndani ya mwili, pia dawa hii huondoa na kupunguza maumivu mwilini yakiwemo ya tumbo.

Pia dawa hii unapotumia husaidia sana kuondoa sumu mwilini na kulinda mwili na kuepusha mwili dhidi ya magonjwa nyemelezi.

Limbuguli asili ina uwezo mkubwa sana wa kutibu na kukinga magonjwa mengi zaidi, dawa hii tayari imedhibitika kutoa  matokeo mazuri.Ikiwa utahitaji dawa hii basi wasiliana na Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment