Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 8 September 2015

FAHAMU MPANGILIO MZURI WA VYAKULA UTAKAOKUEPUSHA NA TATIZO LA SHINIKIZO KUBWA LA DAMU


Asubuhi tuliangazia dalili za shinikizo kubwa la damu, napenda kwa sasa tujifunze namna ya kuepuka kuingia kwenye tatizo hilo sasa: 

Jinsi ya kuepuka tatizo:
  • Epuka vyakula vyenye mafuta mengi na chumvi nyingi
  • Epuka mafuta yenye asili ya wanyama
  • Epuka kuwa na uzito uliozidi
  • Punguza kula nyama hasa nyama nyekundu
  • Epuka matumizi ya pombe, sigara na tumbaku
  • Kudhibiti msongo wa mawazo
  • Fanya mazoezi angalau dakika 30 kila siku\
Unaweza wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com
 

No comments:

Post a Comment