Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 19 September 2015

HIKI NDIO KIUNGO PEKEE AMBACHO HUWEZA KUREJESHA HAMU YAKO YA KULA


Je, kuna wakati huwa unakosa kabisa hamu ya chakula? 

Kama jibu ni ndio basi ni vyema utambue kwamba hiyo hali hiyo huweza kumtokea mtu yeyote na unaweza kutokea wakati wowote.

Lakini hali hii pia huweza kuwa moja ya dalili ya homa, hivyo mhusika anaweza pia kwenda kupata vipimo anapoona hali ya kukosa hamu ya kula.

Hata hivyo, kimsingi tatizo hili huchangiwa na kuwapo kwa hitilafu ndani ya mfumo wa uyeyushaji wa chakula tumboni.

Aidha, tatizo hili huweza kuchangiwa na msongo wa mawazo, wasiwasi, mazingira yasiyoridhisha na mengine mfano wa hayo.

Moja ya njia rahisi ya kukabiliana na hali hiyo ya kukosa hamu ya kula ni pamoja na hii ya kutumia tangawizi.

Unachopaswa kufafanya ni kupata kijikio kimoja cha chai cha tangawizi, kisha changanya na maji kiasi cha kikombe kimoja kunywa maji hayo asubuhi na jioni na utaonajinsi itakavyokusaidia kuongeza hamu yako ya kula

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment