Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 2 September 2015

HIVI NDIVYO UCHAMBUZI WA MAGAZETI ULIVYOFANYIKA LEO ASUBUHI SEPTEMBA 02, 2015


Habari za leo mdau wa www.dkmandai.com ikiwa leo ni Septemba 2, 2015 kuna mengi yameandikwa kwenye magazeti ya leo hususani kuhusu swala la Dk Wilbroad Slaa kutangaza kustaafu siasa pamoja na kuyazungumza mengi kuhusu mgombea urais wa UKAWA,Mh. Edward Lowassa.

Nimeona nikukutanishe na hii video ya uchambuzi wa magazeti kutoka Star Tv asubuhi ya leo>>>


Unaweza kutangaza nasi tupigie simu kwa namba 0653 163 838,  0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment