Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 9 September 2015

HIZI NDIO FAIDA ZA MATOFE (APPLE) KWA AFYA YAKO

Matofe ni tunda maarufu na linalopendwa sehemu mbalimbali duniani. Tunda hili limejaa virutubisho vya mbalimbali ambavyo ni muhimu kwa afya bora ya mwili. 

Kwa lugha ya wenzetu wazungu tunda hili huitwa 'apple' 

Miongoni mwa virutubisho vinavyopatikana katika tunda hilo ni pamoja na vitamin C, wanga,  na nyuzinyuzi 'fiber'. Matofe yana kiasi kidogo cha wanga, na kiasi kikubwa cha kambakamba.


Aidha matofe husaidia kupunguza  na kuulinda mwili dhidi ya sumu za mwili (free radicals)

Matofe pia husaidia kuimarisha kinga za mwili kutokana na kuwa na kiwango cha vitamin C ndani yake, lakini pia husaidia sana kurahisiha umen'enyaji wa chakula kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha nyuzinyuzi 'fiber'


Pia matofe yana madini mbalimbali ikiwa ni pamoja na potassium ambayo husaidia ufanyaji kazi wa moyo mzuri.

Mandai Herbalist Clinic tunapatikana Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam tunauwezo wa kutibu magonjwa sugu kwa dawa asilia kabisa. Tupigie simu leo tukusaidie namba zetu ni 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment