Saturday, 19 September 2015

HUU NDIO UWEZO MWINGINE WA KITUNGUU SWAUMU KATIKA KUTIBU MAUMIVU YA KIUNO


Habari za Jumamosi ya leo Septemba 19, 2015 karibu sana tuendelee kuyafahamu mengine zaidi kuhusu afya zetu na tiba asili ambazo asilimia kubwa zinatuzunguka katika maisha yetu ya kawaida kabisa.

Kumekuwa na maswali mengi nimeendelea kupokea kupitia namba zetu za 0716 300 200, 0769 400 800 na moja ya swali ambalo nimelipokea sana wiki hii ni hili la kuhusu maumivu ya kiuno ambapo wengi walihitaji kufahamu ni namna gani mhusika anaweza kukabiliana na maumivu hayo.

Mara nyingi malalamiko ya kuumwa kiuno huwatokea zaidi kinamama, licha ya kwamba maumivu haya huweza kuwakuta wanaume pia, lakini  sababu kubwa za kuumwa kiuno ni pamoja na haya yafuatayo>>>>>

Unyanyuaji au ubebaji wa mizigo mizito

Hali ya kukosa choo kwa muda mrefu

Kukaa isivyostahili kwa muda mrefu.

Kutokuwa na mazoezi ya kutosha 
Mwanamke mwenye maumivu ya kiuno
Matatizo katika kipindi cha hedhi

Kufanya kazi za kusimama kwa muda mrefu

Unyanyuaji au ubebaji wa mizigo mizito.

Miongoni mwa njia ambazo huweza kusaidia kutatua tatizo hili ni pamoja na matumizi ya kitunguu swaumu.

Unachopaswa kufanya ni kutafuta kitunguu swaumu kisha pondaponda punje moja ya kitunguu swaumu na kupaka sehemu ya kiuno inayouma kabla ya kwenda kulala.

Kama maumivu yako ni ya muda mrefu basi unaweza 

No comments:

Post a Comment