Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 3 September 2015

JE, ULIWAHI KUYAFAHAMU HAYA KUHUSU ILIKI? PATA NAFASI YA KUJUA FAIDA ZAKE HAPA

Pilipili manka ni mbegu ndogo ndogo hivi zenye rangi nyeusi, ambazo huwa na ladha mfano wa pilipili.

Kiungo hiki hutumika kuongeza hamu y akula hasa kwa wake ambao hupoteza hamu ya kula chakula, hukuikisaidia pia kuimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuwa katika hali nzuri.

Aidha, pilipili manga husaidia pia wale wenye uzito mkubwa kupungua, lakini pia husaidia wale wenye shida ya kupata haja ndogo yenye kuambatana na maumivu makali na kutoka kwa taabu.

Pilipili manga, pia husaidia sana kuleta uoni mzuri kwa wale wenye shida ya uoni hafifu

Halikadharika pilipili manka husaidia sana kukabiliana na matatizo maumivu ya viungo, kutibu magonjwa ya fizi na meno.

Unaweza kuuliza swali lolote kwa Tabibu Abdallah Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment