Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 7 September 2015

JIEPUSHE NA TABIA HIZI ILI UEPUKANE NA MAGONJWA YA MOYO

Ugonjwa wa moyo ni miongoni mwa magonjwa yasiyoambukiza na hujumuisha magonjwa yote yanayoathiri moyo kwa ujumla.
Ifuatayo hapa chini ni orodha ya mambo ambayo huleta uwezekano mkubwa wa mtu kupatwa na magonjwa ya moyo:
Kujihusisha na uvutaji wa sigara au tumbaku
 

Unywaji wa pombe na utumiaji wa madawa ya kulevya
 

Kuwa na uzito wa mwili uliokithiri (nene)
 

Kutofanya mazoezi ya mwili na viungo mara kwa mara
 

Kuwa na ugonjwa wa kisukari
 

Watu wenye umri wa miaka zaidi ya 50 huwa katika hatari zaidi ya ugonjwa huu.
 

Kuwa na historia ya ugonjwa wa moyo ndani ya familia. 

Jinsi ya kiume huwa katika hatari zaidi ya kukubwa na magonjwa haya zaidi
 

Kushindwa kuzingatia ulaji bora, mfano kutokula mbogamboga na matunda ya kutosha.

Unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic endapo unasumbuliwa na magonjwa sugu. Tupigie kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment