Wednesday, 2 September 2015

KAMA HUWA UNASUMBULIWA NA TATIZO LA TUMBO KUJAA GESI AU KUUNGURUMA SOMA HAPA

Imani yangu ni kwamba baadhi yetu tumewahi kukumbwa na shida ya tumbo kujaa gesi au kuunguruma na tukawa tukijiuliza ni nini chanzo cha tatizo hilo.

Moja ya chanzo cha tatizo hilo ni swalala ulaji mbovu wa vyakula hususani vyakula vyenye mafuta na chumvi nyingi pamoja na vinjwaji kama soda na bia.

Kwa kawaida vyakula vya aina hiyo vinapoingia tumboni hupelekea kucheleweshwa kwa usagaji wa chakula na uondoaji wa uchakula tumboni, hivyo hali hiyo huwa ni kikwazo kwa mfumo wa usagaji chakula.

Papai ni moja ya tunda ambalo husaidia kudhibiti tatizo hilokutokana na kuwa na enzyme ambayo hurahisiha usagaji wa chakula tumboni.

Unaweza kuwasiliana nasi Mandai Herbalist Clinic ikiwa unasumbuliwa na tatizo lolote la kiafya piga simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment