Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 10 September 2015

MAMBO YATAKAYOKUFANYA KUJIKINGA NA MARADHI

Habari za leo Alhamis ya leo Septemba 10, 2015 mdau wa www.dkmandai.com bila shaka umzima wa afya tele karibu tufahamishane mengine haya kuhusu afya zetu.

1. Hakikisha haya matatu unayazingatia, kula vizuri, kufanya mazoezi ya kutosha na kupata nafasi ya kupumzika vizuri.

2. Dumisha hali ya usafi katika mazingira unayoishi kwa kuhakikisha unanawa mikono kabla ya kula na mara baada ya kutoka chooni

3. Hakikisha chakula unachokula wewe na familia yako ni salama kuanzia mazingira ya kuandalia chakula hicho, pia hakikisha unahifadhi chakula vizuri.

4. Jitahidi kupata chanjo kwani husaiida kuimarisha kinga zako na kuzipanguvu zaidi ya kupambana na viini vinavyopatikana mahali unapoishi.


Unaweza kuwasiliana na Mandai Herbalist Clinic kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandatz@gmail.com

No comments:

Post a Comment