Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 23 September 2015

NADHANI UTAPENDA KUYAJUA HAYA MAAJABU YA MAFUTA YA MDALASINI NA MDALASINI WENYEWE KATIKA TIBAMdalasini ni moja ya kiungo ambacho kinamama hukitumia sana kwa malengo yakuongeza ladha kwenye chai.

Lakini kiungo hiki pia nacho hakiishii kuleta ladha nzuri tu kwenye chai bali pia ni mojawapo ya kinga na tiba ya magonjwa mbalimbali.


Leo ninayo orodha ya magonjwa ambayo huweza kuepukwa kwa kutumia kiungo hiki cha mdalasini. Karibu.

Kiungo hiki (mdalasini) kinauwezo wa kurekebisha kiwango cha sukari mwilini na hivyo kufanya kuwa na faida kwa wale wenye shida ya kisukari hususani kisukari aina ya pili 'type 2 diabetes'

Unapopata mafuta yatokanayo na huu mdalasini basi husaidia sana kuondosha shida ya fangasi hususani aina ya 'candida'

Pia matumizi ya mdalasini huweza kumkinga mtu dhidi ya saratani hasa saratani ya tumbo au saratani ya ngozi, uwezo huu ni kutokana na mdalasini kuwa na virutubisho hivi vya aina mbili yaani 'Cinnamaldehyde' na 'Eugenol' ambavyo vyote huweza kupambana vizuri na saratani.

Matatizo ya maumivu ya viungo nayo huweza kupata ufumbuzi kwa kutumia mdalasini hii ni kwa sababu kiungo hiki kinautajiri mkubwa wa madini ya magnesium ambayo pia uimarisha afya ya mifupa.

Mbali na hayo kiungo hiki pia ni kizuri sana kwa kupunguza unene kutokana na kwamba kiungo hki urahisisha mzunguko wa damu mwili na kuifanya damu kuzunguka vyema ndani ya mwili.


Kwa maelezo jinsi ya kutumia kiungo hiki kama tiba na kinga ni vyema ukawasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai sasa kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment