Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 20 September 2015

PATA NAFASI YA KUYAJUA MADHARA YOTE YA KUKOSA CHOO, PAMOJA NA DALILI ZAKE ZOTE


Habari za Jumapili msomaji wangu wa www.dkmandai.com imani yangu ni kwamba utakuwa umzima.

Siku ya leo ninayofuraha kukufahamisha kwamba kama wewe ni miongoni mwa watu ambao husumbuliwa na tatizo la kukosa choo basi Jumapili ya leo utafahamu namna ya kumaliza tatizo hilo kwa kutumia vitu asilia vinavyotuzunguka katika maisha yetu ya kila siku.

Napenda kukwambia kuwa leo Jumapili itakapofika saa 1:25 usiku hadi saa 2:00 usiku kupitia Star Tv utapata nafasi ya kutazama kipindi cha Mandai Afya.com ambapo Tabibu Abdallaha Mandai ataelezea namna tatizo hilo linavyotokea, dalili zake pamoja na madhara ya tatizo hilo endapo halitapatiwa ufumbuzi.

Mbali na hayo, pia kupitia kipindi hicho Tabibu Mandai ataeleza thamani ya kutumia vitu asilia na namna ambavyo huweza kujenga afya zetu.

Usikose kipindi hiki maana kunamengi utayafahamu ambayo yatakusaidia kujenga afya yako zaidi. Kumbuka kwamba kipindi kitaanza kuonekana leo Jumapili kuanzia saa 1:25 usiku hadi saa 2:00 usiku kupitia STAR TV

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuongea na Tabibu Abdallaha Mandai kupitia simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment