Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 5 September 2015

SABABU ZA KULEGEA KWA MISULI YASEHEMU ZA UZAZI KWA WANAWAKETukizungumzia kulegea ina maana misuli ya ukeni inashindwa kubana na kuachia njia, misuli inapoachia njia inapolegea hata ukichuchumaa uhisi nyama zimejaa ukeni.
Chanzo cha tatizo

Kulegea kwa misuli ya uke hutokana na matatizo mbalimbali na hasa uzazi wa karibu karibu, mama anayezaa kwa vipindi viwili vifupi vifupi kwa njia ya kawaida hupatwa na tatizo hili, kulegea kutokana na matatizo ya vichocheo (Hormones) za kike, kulegea kunaweza kusababishwa na magonjwa sugu kama kansa,TB na maambukizi ya HIV au magonjwa ya zinaa haswa kawende.
 

Tatizo hili la kulegea misuli pia huchangiwa na umri mkubwa kwahiyo kwa wabibi hali hii inapojitokeza ni kawaida hasa kuanzia umri wa miaka 70 na kuendelea
Dalili za tatizo
Mama mwenye tatizo hili wakati wa kujisafisha ukeni huhisi kama tundu limeziba au limejaa nyama na humlazimu kutumia muda kujisafisha mara kwa mara atakuwa anasumbuliwa na muwasho na uchafu wa mara kwa mara wakati wa kufanya tendo la ndoa, maumivu wakati wa tendo la ndoa ambayo hutokea pale tu inapotokea michubuko na maumivu wakati wa tendo la ndoa.

Aidha, tatizo hili huambatana na uambukizo wa muda mrefu ukeni, pamoja na mama kutofurahia tendo la ndoa, hali kadhalika uambukizi huweza kupanda hadi kwenye mlango wa uzazi,tumbo la uzazi, mirija na vifuko vyo mayai.

Maambukizo yanapofikia huko mama huumwa na tumbo chini ya kitovu mara kwa mara pamoja na mwenendo wa siku za hedhi kuvurugika.

Hali ya kulegea kwa misuli ya uke pia humuathiri hata mume kwani naye hushindwa kufurahia tendo la ndoa, kulegea na kutanuka kwa uke yote huathiri mahusiano ya kimapenzi kwani mama hafurahii na baba yake hafurahii tendo la ndoa.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment