Friday, 18 September 2015

UFAHAMU HUU MMEA WENYE UWEZO WA KUTIBU MAGONJWA MENGI, SOMA MWENYEWE HAPA

Kuna baadhi ya mimea ni ngumu kuamini kwamba huweza kuwa tiba endapo utakutana nayo porini hususani ukiwa si mtaalam wa kuitambua mimea tiba.

Mfano mzuri mmea huo hapo juu (pichani) ambao ukiuona porini sidhani kama unaweza kuwaza kuwa inaweza kuwa dawa ya ugonjwa wowote, lakini kwa watalaam kama Tabibu Abdallaha Mandai kutoka Mandai Herbalist Clinic yeye anasema kwamba mmea huo ni dawa na unauwezo wa kutibu magonjwa zaidi ya matano.

Ni wazi kwamba kwa mtu asiyefahamu anaweza kuukanyaga mmea huo porini na asijue kuwa ni dawa nzuri ambayo inaweza kukutibu na kukuacha ukiwa na afya yako njema kabisa.

Lakini Mandai Herbalist Clinic tunaitambuia aina hii ya dawa na hivyo kuivuna na kuiweka katika chupa ili iwe rahisi kwa mgonjwa kuitumia kama nitakavyoenda kukuonesha hapa chini kupitia picha.

Hivi ndivyo dawa asili inavyokua baada ya kurahisishwa kutoka shamba na hii ni moja wapo ya store ya Mandai Herbal Clinic.
Unaweza kuwasiliana na Tabibu Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 na utaweza kumuuliza lolote kuhusu afya yako hebu piga simu hizo sasa hivi.

No comments:

Post a Comment