Saturday, 5 September 2015

UFUTA HUSAIDIA KUONDOA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI

Wanawake wote huingia kwenye hedhi mara moja kwa mwezi, ikiwa ni moja ya hali ya kawaidia kwao, lakini baadhi ya wanawake wanapokaribia kuingiakwenye siku zao hizo huzongwa na maumivu makali jambo ambalo huwakosesha raha na amani kabisa.

Hata hivyo ni vyema ikafahamika kwamba matumizi ya ufuta huweza kutoa ahueni kwa mwenye shida hiyo.

Saga ufuta na pata unga wake kisha uchanganye na maji ya moto, kunywa mara mbili kwa siku. Kinywaji hiki huondoa maumivu wakati wa hedhi kwa wasichana wadogo.
 
Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 tupo Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment