Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 25 September 2015

ZIFAHAMU SABABU AMBAZO ZINACHANGIA VIJANA WENGI KUFARIKI MAPEMA


Kupoteza maisha au kufariki ni ishu ambayo nzito sana, licha ya kwamba huwa tunasikia stori za watu wakijiua kwa kujinyonga au kunywa sumu.

Lakini kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kwamba vijana ndio wanaongoza kwa kupoteza maisha zaidi.

Aidha, Shirika hilo limetaja vyanzo ambavyo hupelekea vijana kupoteza maisha yao  mapema.

Inaelezwa kwamba vijana milioni 1.3 hufariki kila mwaka duniani kutokana na mambo  ambayo huweza kuzuilika.

Miongoni mwa mamba hayo ni kama haya yafutayo>>

Ajali za barabara ndizo zinaongoza kwa kuchangia vifo vya vijana kwa kiwango cha asilimia 11.6%, sababu nyingine inayochangia vifo vya vijana ni kufanya maamuzi ya kujiua ambayo hii hufanyika kwa asilimia 7.3

Sababu nyingine ya vifo vya vijana duniani ni ugonjwa wa Ukimwi na magonjwa ya kupumua sambamba na vita vya vijana pia.

Chanzo: WHO, CDC, 2012

No comments:

Post a Comment