Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 29 September 2015

ZIPATE HIZI TAKWIMU ZA WATOTO AMBAO HUZALIWA NJE YA NDOA


Je wewe ni mmoja kati ya wazazi ambao umezaa nje ya ndoa? au huenda wewe ni mtoto ambaye ulizaliwa nje ya ndoa? huenda ukawa na jibu la swali hilo lakini ni vyema sasa tufahamu kuhusu utafi huu uliofanywa kuhusu watoto wanaozaliwa nje ya ndoa.

Takwimu za hivi  karibuni nchini Uingereza zinaonesha kuwa mmoja kati ya watoto wawili wanaozaliwa Uskochi Kaskazini mwa Uingereza ni vizazi vya kina mama ambao hawajaolewa na baba za watoto wao. Hii inaashiria kwamba asilimia 50% ya wanawake wanaojifungua hawajafunga ndoa.

Aidha utafiti huo umebaini kuwa asilimia, 72% ya watoto wanaozaliwa miongoni mwa wamarekani weusi ni wa nje ya ndoa.

Kwa upande wa bara la Afrika, idadi ya wanawake wanaojifungua nje ya ndoa ni ya chini mno, huko nchini Nigeria ambapo ni asilimia ( 6% tu ). Idadi hiyo hata hivyo ni maradufu nchini Afrika Kusini (63%).

Ifuatayo ni idadi ya watoto wanaozaliwa nje ya ndoa

Colombia (84%),

Peru (76%)

Nicaragua (72%)

Iceland,50%

Estonia,50%

Sweden, 50%

Slovenia,50%

Bulgaria,50%

France,50%

Norway,50%

Belgium,50%

Denmark,50%

Scotland 60%

Northern UK,60%


Chanzo : Eurostat

No comments:

Post a Comment