Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 3 September 2015

ZITTO KABWE AWACHARUKIA WANAOMTUKANA DK SLAA, AWATAKA KUJADILI HOJA ZAKE SIO KUMJADILI YEYE

Kiongozi Mkuu wa ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe ameamua kumtetea Dk. Wilbroad Slaa dhidi ya majibu yanayotolewa na baadhi ya watu kufuatia hotuba yake aliyoitoa juzi ikimtuhumu mgombea wa Chadema, Edward Lowassa kuwa fisadi asiyefaa kuchaguliwa kuwa rais.

Zitto ametumia mtandao wa kijamii kupitia akaunti yake ya Facebook na kutoa mtazamo wake na uamuzi atakaochukua, licha ya kwamba aamekiri wazi kwamba aliwahi kukwaruzana na Dk. Slaa alipokuwa Chadema na kupelekea kuondolewa katika chama hicho.


No comments:

Post a Comment