Thursday, 29 October 2015

BREAKING NEWS: DK JOHN POMBE MAGUFULI ATANGAZWA KUWA RAIS RASMI


Mgombea urais wa chama cha CCM Mh. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya tano kwa kupata kura milioni 8,882,933 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Edward Lowassa aliyepata kura milioni 6,072,848
HONGERA DK. JOHN POMBE MAGUFULI

No comments:

Post a Comment