Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 20 October 2015

DK MAGUFULI AZURU MAKABURI YA BABU NA BIBI ZAKE KATOMA GEITAMgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi Dk.John Magufuli  amezuru kwenye makaburi ya babu yake Simon Marko Magufuli na bibi yake Anastazia katika kijiji cha Katoma, Geita vijijini

Hapa Dk Magufuli (kushoto wa kwanza) akiwa na baadhi ya ndugu jamaa na marafiki  kwa pamoja wakisali mara baada ya kufika kwenye makaburi hayo.


No comments:

Post a Comment