Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 30 October 2015

HIZI NDIO SABABU ZA MKOJO WAKO KUWA NA HARUFU MBAYA KUPITA KIASI

Je ni mara ngapi umewahi kujikuta ukipata haja ndogo (mkojo) wenye harufu mbaya kuliko ilivyo kawaida? huenda wewe ni mmoja ambao utakuwa umewahi kujikuta katika hali hiyo.

Sasa hapa napenda kukwambia kwamba kuna baadhi ya mambo ambayo huweza kusababisha mkojo kuwa na harufu mbaya hasa nyakati za asubuhi mambo haya ni kama haya yafuatayo:-

Kwanza hali hiyo huweza kuchangiwa na hali ya upungufu wa maji mwilini, hivyo ili kuepukana na tatizo hilo ni vyema kujenga utaratibu wa kunywa maji ya kutosha.

Sababu nyingine ya tatizo hilo huwa ni dalili za maambukizi kwenye njia ya mkojo (U.T.I) 

Aidha, ugonjwa wa kisukari huweza kuwa sababu pia ya mkojo kuwa na harufu mbaya, lakini pia hata magonjwa ya zinaa huwa ni sababu tosha kabisa ya mkojo kuwa na harufu mbaya zaidi.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai  kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment