Monday, 19 October 2015

IFAHAMU HII DAWA ASILI AMBAYO NI KIBOKO YA MATATIZO YA U.T.I SUGU

Maambukizi katika njia ya mkojo au kama unavyojulikana kwa wengi UTI ni miongoni mwa tatizo ambalo huathiri mfumo wa mkojo ikiwa ni pamoja na ureter ambayo ni kama bomba linalosafirisha mkojo kutoka kwenye figo.

Ugonjwa huu unaathiri zaidi kibofu cha mkojo na urethra lakini unaweza pia kuathiri figo, ugonjwa huu husababishwa na bakteria anayeitwa Escherichia coli (E. coli)

Kimsingi unapofika Mandai Herbalist Clinic unaweza kupata dawa nzuri iitwayo Kimondo, hii ni miongoni kati ya dawa ambazo uwezo wake ni mkubwa wa kumaliza shida ya U.T.I hata kama ni ile sugi haijalishi imekusumbua kwa muda gani, lakini unapotumia hii dawa tu basi lazima uagane na tatizo la U.T.I

Dawa hii ya kimondo imechanganywa vizuri kitaalam kwa mimea mbalimbali ambayo nayo inauwezo wa kumaliza uvimbe ndani ya mfuko wa uzazi yaani 'fibroid'

Halikadhalika dawa hii husaidia sana kuongeza kinga za mwili, kusafisha tumbo na kutibu minyoo pia.

Inawezekana unahitaji kuipata dawa hii basi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0769 400 800, 0784 300 300. Barua pepe, dkmandaitz@gmail. Au fika ofisini kwetu Ukonga, Mongolandege jijini Dar es Salaam. Karibu.

No comments:

Post a Comment