Tuesday, 27 October 2015

IKIWA UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MGONGO YA MARA KWA MARA

Maumivu chini ya mgongo hutokea sana kwa baadhi ya watu na maumivu hayo huweza kusambaa mpaka kwenye kiuno.

Maumivu haya husikika na kuumiza pale unapoinua kitu, kusimama, kukaa kwenye kiti au kutembea.

Maumivu ya kiuno huweza kusababisha hata ukashindwa kufanya kazi zako za kila siku

Pia hali ya maumivu hayo huweza kusababishwa na kuvunjika au maambukizi katika pingili za uti wa mgongo, umri mkubwa, saratani ya mifupa,uzito kupita kiasi mawe katika figo,

Endapo unasumbuliwa na matatizo hayo ya maumivu ya kiuno ni vyema ukajitahidi ukapata dawa iitwayo Madondo  ambayo inapatikana Mandai Herbalist Clinic yenye uwezo wa kumaliza tatizo hilo vizuri kabisa.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Tabibu Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment