Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 4 October 2015

MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA WA DP AFARIKI DUNIA

IMG-20151004-WA0009

Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa chama cha kisiasa cha DP Christopher Mtikilaamefariki dunia alfajiri ya leo wakati akitokea Morogoro kuelekea Dar es salaam.
Mchungaji Christopher  Mtikila enzi za uhai wake (picha kwa msaada wa mtandao)
Taarifa zilizotufikia kupitia kwa kamanda wa Polisi Pwani Jafari Mohamed amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na alifarika saa 12 kasorobo katika kijiji cha Msolwa, Chalinze akiwa kwenye gari ndogo huku wenzake watatu wakijeruhiwa vibaya.
Gari aliyopata nayo ajali Mch.Christopher Mtikila
Itakumbukwa kwamba Mtikila alitangaza kugombea Urais kupitia chama chake cha DP lakini chama chake ni moja ya vyama ambavyo vilikatwa na NEC kutokana na kutotimiza baadhi ya masharti na vigezo vilivyomo kwenye fomu ya Mgombea Urais.

No comments:

Post a Comment