Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 19 October 2015

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WAFANYIKA, DK MAGUFULI NA LOWASSA HAWAKUONEKANA


Jana Oktoba 18, 2015 ulifanyika mdahalo maalum ulioshirikisha wagombea urais wa vyama mbalimbali kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kueleza wanachi endapo wakifanikiwa kupata nafasi za urais wanazoomba ni mambo gani serikali zao zitafanya.

Hata hivyo, mdahalo huo haukuhudhuriwa na mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli pamoja na Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), pamoja na vyama vinaunda Ukawa, Edward Lowassa.

Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa kupitia mdahalo huo ni pamoja na masuala ya kiuchumi, katiba ya uchaguzi, malengo endelevu ya umoja wa mataifa, katiba inayopendekezwa, viashiria vya uvunjifu wa amani nchini na huduma za kijamii kwenye sekta ya afya.
Timu ya waongozaji wa mdahalo huo

Wadau waliojitokeza kufuatilia mdahalo huo

Vijana nao hawakuwa nyuma nao walijitokeza kushuhudia mdahalo huo

No comments:

Post a Comment