Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Wednesday, 7 October 2015

MWILI WA MCHUNGAJI MTIKILA UMEAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM PICHA ZOTE ZIPO HAPA (R.I.P)

Hapa jeneza la Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila likitolewa ndani ya ukumbi wa Karimjee kwenda kwenye gari maalum tayari kwa ajili ya safari ya kuelekea Ludewa Njombe mara baada ya zoezi la kuaga kukamilika 

Baadhi ya waombolezaji wakipita kuaga mwilli wa Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila ndani ya Ukumbi wa Karimjee mapema leo jijini Dar es Salaam
Mke wa Marehemu Christopher Mtikila (watatu kutoka kulia) akitoka ndani ya ukumbi wa Karimjee tayari kuanza safari ya kuelekea Ludewa, Njombe

Mke wa marehem Mchungaji Christopher Mtikila (wapili kutoka kulia ) akizungumza na mmoja wa waombolezaji muda mfupi kabla ya kuondoka viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuanza safari ya kuelekea Ludewa Njombe
Gari iliyobeba mwili wa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila pamoja na baadhi ya ndugu akiwemo Mke wa Mch: Mtikila
Mandai Herbalist Clinic inatoa ujumbe huu "Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape uvumilivu wafiwa wote wakati huu wa kipindi kigumu cha majonzi"

No comments:

Post a Comment