Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 4 October 2015

PATA NAFASI YA KUFAHAMU MIMEA AMBAYO HUPAMBANA NA MAGONJWA YA MOYO HAPA


Mdau wa www.dkmandai.com naamini kwamba utakuwa upo vizuri siku hii ya Junapili, leo napenda kukwambia kwamba endapo utapenda kukabiliana na magonjwa ya moyo basi usikose kutazama Star Tv leo saa 1:25 hadi saa 2:00 usiku.

Utakapo angalia Star Tv kuanzia hiyo saa 1:25 usiku huu utaweza kufahamu mimea gani husaidia kupambana na magonjwa ya moyo, ambapo maelezo hayo yote kuhusu mimea utayapata kutoka kwa mtaalamu wa tiba asili Tabibu Abdallaha Mandai.

Tabibu Abdallaha Mandai atakueleza dalili za magonjwa ya moyo, lakini pia atakupa njia za kuepuka magonjwa hayo ya moyo.

Kumbukwa kwamba kipindi kinaitwa mandai.afya.com na kinaanza saa moja na dakika ishirini na tano usiku hadi saa mbili kamili  na kitaonekana kupitia Star Tv. Usikose!

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment